Imewekwa: November 16th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu J. Makwinya amekabidhiwa tuzo 3 za Sekta ya Mifugo, Kilimo na Ushirika.
Akikabidhiwa tuzo hizo ofisini kwake na Mkuu wa Divisheni ya...
Imewekwa: November 10th, 2023
Halmashauri ya Meru imefanya kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) kwa ajili ya kutambulisha mpango wa uboreshaji wa afya ya mazingira na maji kwa mfumo wa Pay for Result).
Kwa niaba ya Mkuu w...
Imewekwa: November 8th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Meru imefanya kikao cha tathmini ya lishe kwa kipindi cha mwezi Julai-Septemba 2023 kwa mwaka wa Fedha 2023/2024.
Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo ...