Mh. Dc akiwa ameshika bidhaa iliyoletwa na mjasiriamali kijana kwenye maadmisho ya siku vijana duniani
Katikati ni Mhe. Mkuu wa Wilaya Arumeru Emmanuela Kaganda, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya na Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mhe. Jeremia Kishili Katika Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani.
Team Marathoni
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Meru akiwa anamalizia mbio za 5Km katika viwanja vya Ngarasero ikiwa ni kuadhimisha siku ya vijana duniani tarehe 20.08.2023.
Mh.DC naye hakubaki nyuma katika kuufukuza upepo wa 5km.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa