KUKAMILISHWA KWA VYUMBA VYA MADARASA FURSA KWA WANAFUNZI 1,635 WA KIDATO CHA KWANZA KUPANGWA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg. Emmanuel J. Mkongo anetoa Wito kwa Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi kuiga mkakati wa Shule ya Sekondari Pamoja, wa utoaji motisha kwa Wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye swala zima la Taaluma .
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa