Aidha , Makonda amesisitiza suala la ulinzi na usalama katika mkoa wa Arusha kwa raia na mali zao ili kuufanya Mkoa wa Arusha kuendelea kuwa kivutio kwa watalii wa ndani na nje.
"Nakata Mkoa wa Arusha ifike mahali ikitokea mtu amedondosha simu yake mahali watu waiokote na kumpelekea pale alipo" amesema Makonda.
Vilevile ametoa maelekezo kwa wanaohusika na kugonga mhuri mpakani Namanga kuhakikisha zoezi hilo halichukui zaidi ya dakika 60 kwani kuchelewesha huduma hiyo ni kuchelewesha kukuza uchumi wa Mkoa wa Arusha.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa