Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawataarifu wenye majina na anwani zilizoorodheshwa kufika kwenye Usaili wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III,Katibu Mahsusi III na Dereva Daraja la II utakaofanyika tarehe 21-24 Septemba,2023 saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Wasailiwa wote mnakumbushwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwenye barua za tangazo la usaili. Bofya hapa chini kupakua majina
KUITWA KWENYE USAILI. DEREVA II.pdf
KUITWA KWENYE USAILI KATIBU MAHSUSI.pdf
KUITWA KWENYE USAILI VEO III.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa