Maendeleoya ujenzi wa vyumba viwili (2) vya madarasa Shule ya Sekondari Malula mradi unaogharimu Tsh.Milioni 40,fedha za mkopo wa riba nafuu kutoka shirika la fedha Duniani,ikiwa ni Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO -19
01 Desaemba 2021 Hatua ya Upauzi
01 Desaemba 2021 Hatua ya Upauzi
03 Desemba 2021 Hatua ya ujenzi wa vyumba viwili Shule ya Sekondari Malula.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa