Imewekwa: February 1st, 2025
Huu ni muonekano mpya wa Bweni la wasichana
katika shule ya Sekondari King'ori baada ya kupata majanga ya kuunguliwa moto kwa bweni hilo.
Halmashauri ya Meru kwa kushirikiana na Serikali ya awam...
Imewekwa: January 4th, 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) na mlezi wa CCM Arusha,Rajabu Abdallah,ameongoza mamia ya wafuasi wa chama hicho katika maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ngazi ya mkoa.
Maadhimisho ha...
Imewekwa: February 7th, 2025
Waheshimiwa Madiwani wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameridhia na kupitisha Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru Kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 yenye jumla ya Shilingi za Kita...