Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III nafasi 20 kwa masharti ya kudumu na Pensheni, Tangazo hili ni baada ya kupata kibali cha ajira mbadala chenye kumb.Na.FA 170/371/01/71 cha tarehe 08 Novemba 2017 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Aidha mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 03 Januari 2018 saa 9:30 Alasiri
Kuona sifa za kuomba nafasi hizi pakua nyaraka hapa.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa