DIRA YA HALMASHAURI:
Kuwa na Jamii yenye maisha bora na endelevu ifikapo mwaka 2025
MWELEKEO:
Halmashauri ya Wilaya ya Meru imedhamiria kujenga mazingira yaliyo bora katika kutoa huduma za kiuchumi na kijamii zenye kiwango cha ubora wa juu kwa kuzingatia ufanisi na umakini katika kutumia rasilimali kwa kuzingatia msingi wa utawala bora katika kuleta maisha bora kwa wananchi wake.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa