Wananchi wanaotakiwa kufidiwa baada ya benki ya Wananchi wa Meru ( Meru Community Bank) kuwa mufilisi imetolewa na Bodi ya Bima ya Amana ili wanamchi hao waweze kupata amana zao.
kati ya taarifa njema iliyotolewa na Bodi ya Bima ya Amana ni kwamba wananchi watambue ya kwamba pindi taasisi ya kifedha na benki yoyote inapofilisiwa kisheria, Fedha au akiba ya mwananchi haipotei.
Lakini pia, inawalazimu wale waliokopa katika benki hiyo kuendelea kufanya marejesho kwa kufuata taratibu zilizowekwa na Benki Kuu ya Tanzania.