mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru anawakumbusha wananchi wote na watumishi wa Halmashauri ya Meru kua kesho ni jumamosi ya kufanya usafi wa mazingira hivyo basi kila mwananchi atatakiwa kufanya usafi katika maeneo yake na kwawafanya biashara watatakiwa kufunga biashara zao na kushiri kufanya usafi mpaka saa 4:00 asubuhi kwa mfanyabiashara atakayekutwa amafanya biashara wakati wa zooezi la usafi linaendelea atatozwa faini ya shilingi elfu 50
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa