Akiongea na wandishi wa habari tarehe 23 Juni 2017 afisa uchaguzi wa Halmashauri ya Meru ndg,Edward Chitete amethibitisha kupokea barua za kujiuzulu kwa madiwani wanne , kuwataja majina hayo kuwa ni Bryson Issangya diwani kata ya Maroroni Mhe.Emmanuel Mollel diwani kata ya Makiba,Josephine A. Mshiu diwani viti maalumu kupitia tarafa ya King'ori na Underrson E.Sikawa diwani kata ya Leguruki
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa