katika kuwezesha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi na kuongeza rasilimali watu wenye ujuzi kwenye fani hii serikali imetoa vifaa na kemikali za maabara katika shule 17 zilizopo kwenye Halmashauri ya Meru.
.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa