Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wale wote waliofaulu kwenye usaili wa nafasi ya Mtendaji daraja la II kuripoti kazini kesho tarehe 5 Juni, 2018 saa 2:00 Asubuhi katika ofisi namba 63. Aidha wanatakiwa kufika na vyeti halisi vya Taaluma na nakala zake pamoja na picha mbili (Passport Size)
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa