Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa ya kuomba nafasi za ajira mbalimbali kwa masharti ya kudumu.Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mpya chenye kumb.FA.170/371/01/40 CHA TAREHE 16.04.2019 kutoka kwa katibu mkuuu ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora.
Kuona Mchanganuo wa nafasi hizo bofya tangazo la kazi .pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa