IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA USHIRIKI WAKE KATIKA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO YA KIUCHUMI.
Sekta hii inasaidia kuibua shughuli za miradi ya maendeleo ngazi ya kata na vijiji na pia inaratibu uanzishwaji na usimamizi wa miradi ya vikundi vya vijana na wanawake.Sekta ya maendeleo ya jamii inahakiki na kumtaarifu msajili wa asasi za kiraia (NGOs) zinazotoa huduma kwa makundi ya wazee, walemavu,yatima pamoja na wajane pendekezo la kukubalika kusajiliwa.
Vikundi vya Wajasiriamali (Wanawake na Vijana).
Halmashauri kupitia watumishi wa idara ya maendeleo ya jamii kama maelezo awali yanavyosema kusaidia vijana na wanawake kuanzisha miradi, idara imeweza kuviandikia vikundi vya vijana 17 vyenye jumla ya vijana 340 maandiko ya kuomba fedha za mitaji.Ni Halmashauri ya kwanza nchi nzima kupata kiwango kikubwa cha fedha hii inatokana na umadhubuti wa maandiko yaliyoandikwa na watumishi wa idara.
Maandiko hayo yalitumwa ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu na Halmashauri ikafanikiwa kupewa fedha za mitaji kwa vikundi kumi na saba,thamani ya fedha zilizotolewa ni shilingi 66,200,000.00.Fedha hizi zinatakiwa kupewa vijana wanaosimamiwa na SACCOS ya vijana Meru chini ya ofisi ya uratibu wa kitengo cha Ushirika na Idara ya Mendeleo ya Jamii kama jedwali chini linavyoonyesha.
Kwa sasa Halmashauri ya Meru ina jumla ya vikundi vya vijana na wanawake wajasiriamali vipatavyo 595 kati ya vikundi hivyo,vikundi vya wanawake ni 384 na vya vijana ni 211.Katika mwaka wa fedha 2016/2017 jumla ya shilingi milioni mia moja ishirini na tisa (129,000,000.00) zimetolewa kwa vikundi 19 vya wanawake na vikundi 21 vya vijana ambao shughuli wanazofanya ni kilimo,ufugaji na biashara. Jedwali zifuatazo zinaonyesha vikundi na mitaji waliyopewa toka Halmashauri ya Wialya ya Meru na vikundi vilivyopewa toka ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
A:ORODHA YA VIKUNDI VYA VIJANA NA WANAWAKE AMBAVYO HALMASHAUI IMEVIPA MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU KWA MWAKA2016/2017.
NA
|
JINA LA KIKUNDI
|
KATA WALIPO
|
KIASI CHA MKOPO WALICHOPEWA
|
1 |
Kikundi cha Olisigi
|
Shambarai Burka
|
2,000,000 |
2 |
Kikundi cha umoja wawanawake Shambarai burka
|
Shambarai Burka
|
1,000,000 |
3 |
Kikundi cha Nurulanga
|
Shambarai Burka
|
3,000,000 |
4 |
Kikundi cha Memandoki
|
Nkoanrua
|
2,500,000 |
5 |
Kikundi cha ZindukaUlong’a
|
Nkoanrua
|
2,000,000 |
6 |
Kikundi cha Ashe-Ngai
|
King’ori
|
2,500,000 |
7 |
Kikundi cha IkyiraNkoansiyo
|
King’ori
|
2,500,000 |
8 |
Kikundi cha Agape
|
Maroroni
|
2,000,000 |
9 |
Kikundi cha Tujogee
|
Majengo
|
3,000,000 |
10 |
Kikundi cha Ambureni
|
Ambureni
|
2,000,000 |
11 |
Kikundi cha Wekezasungura
|
Akheri
|
3,000,000 |
12 |
Kikundi cha WanawakeMlimani
|
Leguruki
|
2,000,000 |
13 |
Kikundi cha Kikwe Community Development
|
Kikwe
|
3,000,000 |
14 |
Kikundi cha Wanawake Rory
|
Imbaseni
|
2,000,000 |
15 |
Kikundi cha Migandini Muungano
|
Maroroni
|
2,000,000 |
16 |
Kikundi cha WamamaImara
|
Akheri
|
2,500,000 |
17 |
Kikundi cha Kolila VICOBA
|
Malula
|
3,000,000 |
18 |
Kikundi cha Horticulture
|
Makiba
|
3,000,000 |
19
|
Kikundi cha Kesia
|
Nkoaranga
|
4,000,000 |
20
|
Kikundi cha Wanawake Momela
|
Ngarenanyuki
|
3,000,000 |
21
|
Kikundi cha S.Y.G
|
Ngarenanyuki
|
3,000,000 |
22
|
Kikundi cha Ailanga Family
|
Ngarenanyuki
|
3,000,000 |
23
|
Kikundi cha Wekezamomela
|
Ngarenanyuki
|
3,000,000 |
24
|
Kikundi cha Kireeni Wenyeji
|
Ngarenanyuki
|
2,000,000 |
25
|
Kikundi cha Sifuni
|
Maroroni
|
3,000,000 |
|
|
JUMLA NDOGO |
64,000,000 |
1
|
Kikundi cha Manyaki Upendo
|
King’ori
|
1,500,000 |
2
|
Kikundi cha Nammanya
|
Leguruki
|
1,500,000 |
3
|
Kikundi cha Ikusura Village Care
|
Akheri
|
2,000,000 |
4
|
Kikundi cha Songambele Ngarenanyuki
|
Ngarenanyuki
|
2,000,000 |
5
|
Kikundi cha wanawake Peace
|
Songoro
|
1,500,000 |
6
|
Kikundi cha Mount Meru Arts
|
Usariver
|
1,000,000 |
7
|
Kikundi cha Uwangabo
|
Ngabobo
|
1,500,000 |
8
|
Kikundi cha Wanawake Mbembe Development
|
Songoro
|
1,500,000 |
9
|
Kikundi cha Wanawake Kyando
|
Akheri
|
1,500,000 |
10
|
Kikundi cha Wanawake OUHAKATU
|
Ambureni
|
1,500,000 |
11
|
Kikundi cha WanawakeSamia
|
Ambureni
|
1,500,000 |
12
|
Kikundi cha LoruvaniUpendo
|
Ambureni
|
1,500,000 |
13
|
Kikundi cha Wanawake Yeyowasha
|
Malula
|
2,000,000 |
14
|
Kikundi cha Wanawake Umoja Mowara
|
Maruvango
|
1,500,000 |
15
|
Kikundi cha Ruwanaichi
|
Usa river
|
2,000,000 |
16
|
Kikundi cha Majengo
|
Majengo
|
2,000,000 |
17
|
Kikundi cha Wawasa
|
Maroroni
|
1,500,000 |
18
|
Kikundi cha vijana Samaria
|
Maroroni
|
1,500,000 |
19
|
Kikundi cha MshikamanoMajengo
|
Majengo
|
1,500,000 |
20
|
Kikundi cha Kufise
|
King’ori
|
1,500,000 |
21
|
Kikundi cha Osukuroi
|
Ngarenanyuki
|
1,500,000 |
22
|
Kikundi cha Kirishiony
|
Leguruki
|
1,500,000 |
23
|
Kikundi cha Inawanko
|
Leguruki
|
1,500,000 |
24
|
Kikundi cha Ikunda KambiyaTanga Juu VICOBA
|
Shambarai burka
|
2,000,000 |
25
|
Kikundi cha Mashora Burdani
|
Seelasing’isi
|
1,500,000 |
26
|
Kikundi cha Waebrania
|
Nkoaranga
|
1,500,000 |
27
|
Kikundi cha Nkoasakiri B
|
Nkoaranga
|
1,500,000 |
28
|
Kikundi cha Wanawake Patimo
|
Malula
|
2,000,000 |
29
|
Kikundi cha Wanawake Kaveshe
|
Maruvango
|
1,500,000 |
|
|
|
|
31
|
Kikundi cha Vijana Eng’warata
|
Maroroni
|
3,500,000 |
32
|
Kikundi cha wanawake Esiliti
|
Ngabobo
|
1,500,000 |
33
|
Kikundi cha Karikenyi Maendeleo
|
Shambarai burka
|
2,000,000 |
34
|
Kikundi cha Msheku
|
Ngabobo
|
2,000,000 |
35
|
Kikundi cha Wanawake Kwimboy
|
Ngarenanyuki
|
2,500,000 |
36 |
Kikundi cha Zavam
|
Ngarenanyuki
|
3,000,000 |
37
|
Kikundi cha mawasiliano
|
Usa river
|
1,500,000 |
38
|
Kikundi cha Wanawake Akengupa
|
Akheri
|
1,500,000 |
39
|
Kikundi cha upendo Mapambano
|
Shambarai Burka
|
1,500,000 |
40 |
Kikundi cha Umoja
|
Shambarai Burka
|
1,500,000 |
|
|
JUMLA NDOGO |
65,000,000.00 |
|
|
JUMLA KUU |
129,000,000.00 |
B:ORODHA YA VIKUNDI VYA VIJANA VILIVYOKOPESHWA FEDHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU,SERA,BUNGE,KAZI,VIJANA,AJIRA NA WALEMAVU 2016/2017.
NA
|
JINA LA KIKUNDI
|
AINA YA MRADI
|
FEDHA WALIZOKOPESHWA
|
1
|
Meru Umoja wa Viziwi Tanzania
|
Ufugaji wa kuku
|
6,000,000
|
2
|
Kati Group
|
Ufugaji wa kuku na bata
|
4,000,000
|
3
|
Ilashi Development
|
Ufugaji wa kuku
|
3,000,000
|
4
|
Brilliant Friends Decoration Group
|
Upambaji na Uokaji Keki
|
4,000,000
|
5
|
Kyareto Development Group
|
Kilimo cha mbogamboga
|
3,000,000
|
6
|
Alpha and Omega Business Group
|
Ufugaji na Kilimo
|
4,000,000
|
7
|
Kikwe Community Davelopment Group
|
Kilimo cha mbogamboga
|
5,000,000
|
8
|
Jiboreshe Youth Group
|
Ufugaji na Kilimo
|
3,200,000
|
9
|
Seuri Group
|
Ukodishaji Vyombo
|
3,000,000
|
10
|
Samari Youth Group
|
Ufugaji ng’ombe wa maziwa
|
4,000,000
|
11
|
Inuka Group
|
Ufugaji kuku
|
4,000,000
|
12
|
Meru Nambala
|
Ufugaji ng’ombe wa maziwa
|
4,000,000
|
13
|
Umanjilweruwa
|
Ukodishaji viti na Upambambaji
|
4,000,000
|
14
|
Tikabane Group
|
Kusindika mihogo
|
4,000,000
|
15
|
Waria Youth Group
|
Ufugaji Nguruwe
|
4,000,000
|
16
|
Elishadai Group
|
Ufugaji Kuku
|
3,000,000
|
17
|
Mwangaza Karangai Silk Group
|
Ufugaji Kuku
|
4,000,000
|
|
|
JUMLA
|
66,200,000
|
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa