Halmashauri ya Wilaya ya Meru kupitia Idara ya Afya inapenda kuwatangazia Wananchi wote kuwa, tarehe 25 Februari, 2020 kutakuwa na huduma ya kliniki ya Ngozi kwa watu wenye Ulemavu wa ngozi (Albinism) katika Hospitali ya Wilaya.
Aidha, Wataalam kutoka Hospitali ya rufaa KCMC watatoa huduma ya uchunguzi wa ngozi kwa watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albinism) na kugawa miwani.
huduma hii itatolewa katika Hospitali ya Wilaya (Tengeru)kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa