Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wananchi wote kuwa, tarehe 23/06/2019 ni kilele cha utoaji wa matone ya vitamin A, Dawa za minyoo na upimaji hali ya Lishe,Walengwa ni watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 5.
Aidha Wazazi Na walezi wawapeleke watoto kwenye vituo vya kutolea Huduma kupata Huduma hizo muhimu.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa