Mapema hii Leo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Mwinyi Ahmed Mwinyi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya waeoka Mbao takribani ya Mia 8 zenye thamani ya Milioni 4 zilizotolewa na Mamlaka ya Uhifadhi wa Misitu Tanzania ikiwa kama Msaada wao kwa Hospitali ya Wilaya ya Meru.
Mbao hizo zitakwenda kutatua changamoto za Samani zilizokuwa zikihitajika katika Hospitali hiyo.
Aidha katika mapokezi ya Mbao hizo Mkuu wa Wilaya ameisisitiza hospitali na wasimamizi kuhakikisha kuwa wanatumia mbao hizo nakufanya kile kilichokusuduwa kwa thamani itakayo endana na mbao hizo zilizo letwa
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa