Halmashauri ya Wilaya ya Meru imeibuka kidedea Mara baada ya kushinda Mshindi wa pili kwa upande wa Mifugo Kanda ya Kaskazini kupitia Mfugaji Emmanuel Wilson NanyaUshindi huo umepatikana Leo hii kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Nanenane Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro Mkoani Arusha
Ndg. Nanyaro ametoa Shukrani za dhati kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya kwa Msaada mkubwa anaoutoa kwa Wakulima na kwanamna alivyoweza kumsaidia kutangaza biashara yake ya ufugaji katika maonyesho ya Nanenane 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa