Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg. Emmanuel Mkongo anawatangazia wananchi wote kuwa, Jumanne Tarehe 9 Aprili ni Maadhimisho ya siku ya upandaji Miti Kiwilaya.
Maadhimisho hayo yatafanyika katika Kata ya Ambureni kwa kupanda miti kwenye chanzo cha maji Maksoro kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo ni Mhe. Jerry Muro ,Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
Kauli mbiu: Arusha ya Kijani inawezekana, panda miti kwa Maendeleo ya Viwanda"
Nyote Mnakaribishwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa