Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia wananchi,wafanyabiashara na taasisi zote zilizopo ndani ya Halmashauri hiyo kuwa, Mwisho wa Matumizi ya Mifuko ya Plastiki ni tarehe 31 Mai 2019.
Aidha baada ya tarehe hiyo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakao bainika kuzaliza,kuingiza,kusambaza ,kuuza na kutumia mifuko ya plastiki.
"EWE MWANANCHI TUMIA MIFUKO MBADALA"
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa