• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MATUNDA YA ELIMU BURE HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU.

20 September 2019


Katika kutekeleza Ilani ya CCM  kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ibara ya 52,Serikali kwa kipindi cha miaka 3 imetoa Shilingi Bilioni 4 kwaajili ya Elimu bila malipo, kwa wastani  wa kila mwezi Serikali hutoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru zaidiya shilingi milioni 60  kugharamia elimu bila malipo kwa Shule za Msingi.Aidha, zaidi ya shilingi milioni 55 hutolewa kugharamia elimu kwa Shule za Sekondari.

MATOKEO YA ELIMU BURE KATIKA HALMASHAURI YA MERU.Kumekuwa na ongezeko la Wanafunzi katika Shule za Sekondari na Msingi ambapo idadi ya Wanafunzi waliojiunga Sekondari  kidato cha kwanza mwaka 2015 ilikuwa 2622 kabla ya utekelezaji wa Elimu bila malipo na mwaka 2019  idadi hiyo imeongezeka kufikia 4924.  Kwa upande wa Shule za msingi Idadi ya wanafunzi walioandikishwa darasa la awali imeongezeka kwa kiasi kikubwa kutoka  6809 Mwaka 2015, 7052 mwaka 2017 ,7196 mwaka 2018   na 7700 mwaka 2019.Elimu bila malipo imeongeza asilimia ya ufaulu ambapo asilimia ya ufaulu katika Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha sita mwaka 2016  ilikuwa 92.06%,na Mwaka 2019 imefika 99.7%, Katika Mtihani wa kuhitimu kidato cha Nne,mwaka 2015 asilimia ya ufaulu ilikuwa 89.16% na mwaka 2018 ikafikia 96.92%,Mtihani wa upimaji kidato cha pili mwaka 2015 asilimia ya ufaulu ilikua 89.16% na mwaka 2018 ikawa 96.92% na katika Mtihani wa kuhitimu Elimu ya Msingi darasa la saba (vii), mwaka 2015 ilikuwa 67.6% na mwaka 2018 ilifikia 86.6%.

ELIMU BILA MALIPO IMEENDA SAMBAMBA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU.

Serikali kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (EP4R)imetoa zaidi ya Shilingi Milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa manne na vyoo vya matundu 6 katika Shule ya Msingi wa maboma 16 (vyumba vya madarasa) katika shule za Msingi 16. Tanzanite na Kisimiri juu,pamoja na ukamilishaji.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa