Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Meru anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kuomba nafasi ya ajira kwa masharti ya kudumu kuomba nafasi ya Dereva wa Mitambo ii(Plant operator ii). Aidha Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.170/371/01/40 Kutoka kwa katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi wa Umma na Utawala bora.
bofya hapa li Kusoma tangazo.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa