Halmashauri ya Wilaya ya Meru inakusudia kutumia huduma za wakala wa kukusanya mapato ya Halmashauri kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 kuanzia tarehe 1 Julai 2019 hadi tarehe 30 June 2020.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru inapenda kuwaalika Watu binafsi ,Makampuni ,Ushirika,Taasisi au Vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria ,wenye uwezo wa kufanya kazi hizo kutuma maombi ya zabuni kama zilivyobainishwa kwenye tangazo la zabuni.
KUONA TANGAZO LA ZABUNI .BOFYA HAPA pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa