Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Meru anawatangazia wafanyabiashara wadogo (Machinga) kuwa tarehe 02/01/2019 kutakuwa na zoezi la kuzindua na kugawa vitambulisho vya wajasiliamali wadogo/wamachinga, zoezi hili litafanyika katika uwanja wa Ngarasero-Usa River saa 8:00 mchana.
Mfanyabishara anatakiwa kuleta vitu vifuatavyo:-
1.Picha mbili(passport size)
2.Kitambulisho chochote
3.Barua ya serikali kwa ambao hawana kitambulisho
4.Fedha taslimu shilingi elfu ishirini (20,000/=) kwa ajili ya kitambulisho
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa