Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Meru,Wilayani Arumeru lawatunuku vyeti vya pongezi watumishi hodari wapatao 30 kutoka Idara na Vitengo mbalimbali vya Halmashauri hiyo.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa baraza, Makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Ndg.Nelson Mafie amesema Halmashauri imetambua mchango wa watumishi hao .
Mhe.Nelson Mafie,Makamu Mwenyekiti .
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg Emmanuel Mkongo amesema kutoa vyeti kwa watumishi hodari ni njia ya kuwahamasisha watumishi kuongeza jitihada katika utendaji ili kuleta tija kwenye maendeleo Halmashauri hiyo.
Aidha Mkongo amewataka watumishi wa Halmashauri hiyo kufanya kazi kwa uadilifu na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Ndg Emmanuel Mkongo
Mkutano wa baraza hilo umekamilika kwa siku ya kwanza kwa kupokea na kujadili taarifa za Kata na kuweka mikakati ya kutatua changamoto
BAADHI YA PICHA ZA TUKIO.
Mhe.Diwani Kata ya King'ori, peter Kess akiwasilisha taarifa ya Kata
Mhe.Diwani Kata ya Kikatiti Elisa Mungure akiwasilisha taarifa ya Kata
Mhe.Diwani Kata ya Akheri ,Roman Kibanga akiwasilisha taarifa ya Kata
Mhe.Diwani Kata ya Kikwe,Paul Shango akiwasilisha taarifa ya Kata
Mhe.Diwani Kata ya Nkoanekoli,Wilson Nanyaro akiwasilisha taarifa ya Kata
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka idara ya Elimu Sekondari akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka idara ya Ardhi na maliasili akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka Idara ya fedha na biasharaakikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka idara ya Utawala na Rasilimaliwatu akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka kitengo cha Manunuzi akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka kitengo cha TEHAMA akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka kitengo cha Nyuki akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka Idara ya utawala akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka idara ya Afya akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka idara ya Maendeleo ya Jamii akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka Idara ya Afya akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka Idara ya Elimu Sekondari akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari toka Idara ya Elimu Sekondari akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Miongoni mwa wafanyakazi hodari akikabidhiwa cheti cha pongezi na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru ,Mhe.Nelson Mafie
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa