• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

WAHITIMU 2190 WA JKT WATAKIWA KUDUMISHA MAFUNZO

Imewekwa: September 17th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango ametoa wito wa wahitimu wa Operasheni  maalum ya Samia Suluhu Hassan Kutumia Mafunzo hayo kwa tija kwani Serikali imetumia gharama kubwa kuhakikisha Mafunzo hayo  yanafanyika.

Mhandisi Ruyango amesema hayo wakati wa kufungua Mafunzo ya Operasheni maalum ya Samia Suluhu Hassan katika kikosi Cha JKT Oljoro yaliyofanyika kwa muda wa Miezi mitatu ambapo ametoa wito kwa wahitimu hao kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19 "Taifa linawategemea Vijana, mlipokuwa  kambini mlikuwa salama kwa sasa mnakwenda kuchangamana na watu mbalimbali ni vyema kuendelea kuchukua tafadhari ikiwa ni pamoja na kupata chanjo "Amehimiza Ruyango.

Mwakilishi  wa Mkuu wa JKT kanali Amos Mollo ambaye pia ni Mkurugenzi Operasheni na  Mafunzo Makao Makuu ya JKT ametoa wito kwa vijana kuona haja ya kujiunga na mafunzo ya JKT  kwani yanalenga kuwajengea uimara, uhodari na uzalendo wa kulitumikia Taifa pamoja na  ujasiri.

Aidha, Kanali Mollo amewataka wahitimu hao kujilinda dhidi ya maradhi mbalimbali yakiwemo maradhi yanayosababishwa na tabia pamoja na ulaji sambamba .

Aidha, miongoni mwa  changamoto zilizo ainishwa katika risala ya wahitimu hao ni pamoja na ratiba ya udahili wa chuo na bodi ya mikopo ambapo wameiomba Serikali kuona namna ya  kuongeza muda wa  Mafunzo  kuwa Miezi 6.

Ikumbukwe katika kuhakikisha kazi na shughuli mbalimbali  zinaendelea mbali na uwepo wa Janga la UVIKO 19, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alitoa fursa ya kuwepo kwa Mafunzo ya JKT ambapo katika kambi ya Oljoro wahitimu 2190 wamehitima mafunzo hayo wakiwemo Wasichana 518 na wavulana 1672.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango akizungumza 

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akikagua gwaride la wahitimu Operasheni ya Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Viongozi wa JKT.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ,Viongozi wa JKT na Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Arumeru.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,Viongozi wa JKT na wahitimu wa Operasheni  maalum ya Samia Suluhu Hassan.


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa