• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Baraza la Halmashauri ya Meru kutopokea taarifa za Kata ambazo hazijafuata utaratibu

Imewekwa: April 27th, 2018

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Will J. Njau  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa robo ya 3 wa baraza la Halmashauri hiyo amesema mbali na  changamoto ndogo ndogo zilizopo kwenye Halmashauri hiyo ,Mwenendo wake unaridhisha kwani ukusanyaji wa mapato  umefikia asilimia 71.88 kiasi ambacho ni cha juu ikizingatia kuna vyanzo kama 3 vilivyotwaliwa na Serikali kuu  kikiwemo ushuru wa mabango, pia Halmashauri hiyo  imezawadiwa gari kwa kufanya vizuri kwenye Usafi na Mazingira , pia imeshika nafasi nzuri kwenye ufaulu wa shule za sekondari na msingi .

Baadhi ya wajumbe ambao ni madiwani wamelalamikia kitendo cha fedha za miradi ya maendeleo kutokupelekwa jambo linalosababisha miradi mingi kusimama kwenye Kata  ambapo makamu mwenyekiti  wa Halmashauri  hiyo,Nelson Mafie ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya fedha ,mipango na utawala amewashauri wajumbe hao kujiridhisha kama miradi wanayoisemea ipo kwenye bajeti.

Nae Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt.Amani Sanga amefafanua kuwa kwa mwaka wa fedha 2017/2018 Halmashauri hiyo ilipitisha kwenye bajeti yake fedha kutoka mapato yake ya ndani kiasi cha Biliono 2,226,374,000 kwa ajili ya miradi ya maendeleo hadi sasa zaidi ya milioni 350,270,430 ya fedha  hizo imepelekwa kwenye miradi ya maendeleo ,pia amesema fedha zinazopelekwa kwenye miradi ya maendeleo hutegemea ukusanyaji wa mapato.

Aidha mkutano huo wa baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Meru ambao ni wa siku 2  umehairishwa kwa siku  ya kwanza ukiwa na azimio kuwa halitapokea taarifa za utekelezaji wa kata ambazohazija fuata utaratibu wa kisheria wa kujadiliwa na kupitishwa kwenye baraza la maendeleo ya Kata (WDC) .



PICHA ZA TUKIO.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru akizungumza wakati wa mkutano wa baraza lka Halmashauri hiyo kwa kipindi cha lrobo ya 3,kushoto kwake ni makamu wa Halmashauri hiyo mhe.Diwani Nellson Mafie na kulia kwake ni Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Amani Sanga.

Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.



Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.



Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.


Mwanasheria  wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wakili Makdalena John akitoa ushauri wa kisheria wakati wa mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Mkuu wa idara ya Utawala na Rasilimali watu kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Meru Grace Mbilinyi akitoa ufafanuzi unaohusu masuala ya kiutumishi yaliyohojiwa na wajumbe  kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.



Baadhi  wakuu wa idara na vitengo/wawakilishi wa wakuu wa idara na vitengo  wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.


Baadhi  wakuu wa idara na vitengo  wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi  wakuu wa idara na vitengo wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi  watumishi wa serikali na wananchi  wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi wawakilishi wa wakuu wa idara na watumishi wa Serikali wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.

Baadhi  wakuu wa vitengo/wawakilishi wa wakuu wa idara  wakiwa kwenye mkutano wa baraza la Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya 3.




Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa