Afisa Mwandikishaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Mwl. Zainabu J. Makwinya Leo tarehe 16 Desemba 2024, amefanya ukaguzi wa vituo vya kujiandikisha katika Jimbo la Arumeru Mashariki kwa lengo la kuangalia zoezi linavyoendelea na kufanya tathmini ya changamoto zinazojitokeza.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa