• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Agizo la Mkuu wa Wilaya

Imewekwa: June 25th, 2017

Wamiliki wa shule binafsi wilayani Arumeru wamepewa siku hamsini kuanzia tarehe 26.05.2017 mpaka 15.07.2017 kuhakikisha wanalipa madeni yao ya kodi wanazodaiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania 'TRA'. 

Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Mnyeti alipokutana na wamiliki wa shule binafsi za msingi na sekondari zinazoendeshwa katika wilaya ya Arumeru alipokutana nao kwenye ukumbi wa mikutano Halmashauri ya Meru. 

Mkuu wa wilaya Mnyeti amesema amelazimika kuwaita baada ya kufuatilia na kuona shule nyingi binafsi hazilipi kodi ya serikali kwa kivuli cha kuwa wanatoa huduma.

"Ninyi wamiliki wa shule hamlipi kodi ya serikali kwa kivuli cha kutoa huduma lakini nimefanya utafiti na kugundua mnatoza ada kubwa kati ya milioni moja na nusu mpaka milioni tatu kifupi hiyo ni biashara sio huduma" alisisitiza Mnyeti. Mnyeti amewaelekeza wamiliki wa shule hizo binafsi kuwa shule inayotoa huduma mwanafunzi anatakiwa kulipa ada elekezi ya serikali ya shilingi elfu sabini na tano kama shule za serikali zinavyofanya laini hakuna shule binafsi inayofanya hivyo. Aidha Mnyeti amefafanua kuwa kodi zinazotakiwa kulipwa TRA na shule hizo ni kodi inayokatwa kwenye mishahara ya watumishi waliojiriwa pamojana kodi ya mapato baada ya kupata faida ya biashara iliyofanyika. 

"Katika siku hamsini nilizotoa ni fursa ya mmiliki wa shule kwenda TRA kufahamu kiasi cha kodi anachodiwa na kujipanga namna ya kulipa" ameshauri Mkuu wa Wilaya huyo. 

Ingawa baadhi ya wamiliki wa shule hizo kulalamikia kutokupata faida katika uendeshaji wa shule zao lakini Mkuu wa wilaya alihoji mbona shule hizo hazifungwi kama hakuna faida. 

"Haiwezekani kuendesha biashara miaka nenda rudi na useme haina faida bila kufunga biashara hiyo, wazazi wanalipa mamilioni ya mapesa hivyo ni lazima serikali ipate halali yake kupitia Kodi" alisisitiza zaidi Mnyeti 

Hata hivyo baadhi ya wamiliki wa shule hizo waliridhika na ulipaji wa kodi ya mapato na kukubaliana kwa pamoja kuridhika na muda huo waliopewa kukamilisha ulipaji wa kodi ya mapato

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa