Mkuu wa idara ya Rasilimali watu na utawala Edward Bujune Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl. Zainabu Makwinya amehitimisha Mafunzo ya Mfumo wa Tausi yaliyokuwa yakitolewa Kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Kwa muda wa Siku 2. Chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mafunzo hayo yenye Lengo la kuwapa ujuzi watendaji dhidi ya ukusanyaji wa Kodi ya Majengo kupitia Mfumo wa Tausi
Aidha Edward Bujune amewataka watendaji kwenda kuyafanyia kazi ya Yale waliyopatiwa katika Mafunzo hayo huku akiwasilisha ujumbe wa Mkurugenzi kuwa atasimamia watendaji kuhakikisha waliyofundishwa yanaleta tija Kwa Jamii na wakazi wa Meru.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa