• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ANNA MGHWIRA KUENZIWA ARUMERU

Imewekwa: July 26th, 2021

SERIKALI KUIKARABATI BARABARA YA MANYATA USA-RIVER KUMUENZI ANNA MGHWIRA

*Rais Samia atuma salamu za pole

Mheshimiwa Ummy Ally Mwalimu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, ameagiza Wakala wa Barabara Vijijini na Mjini (TARURA) kuikarabati barabara ya Manyata Usa-River ikiwa ni sehemu ya kumuenzi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mstaafu, Marehemu Anna Mghwira.


Mhe. Ummy ametoa agizo hilo leo Julai 26, 2021 alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ibada ya mazishi  iliyofanyika Usa-River katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru.


Aidha, Waziri Ummy ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa kwa kuondokewa na Mama Mghwira ambaye alikuwa kiongozi jasiri, mwalimu na mshauri mwenye maono makubwa.


Waziri Ummy ametoa wito kwa wanawake wote kufuata nyayo za Mama Anna Mghwira kwa kuchapa kazi kwa bidii.


Mama Anna Mghwira alifariki dunia  Julai 22, 2021 katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.


Marehemu Anna Mghwira amehifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele leo tarehe 26 Julai, 2021 Makumira Wilayani Arumeru ambapo mazishi yake yalihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikari wakiwemo Wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Watumishi wa Serikali wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa