• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ARUMERU KUDHIBITI MIMBA ZA UTOTONI

Imewekwa: September 3rd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mhandisi Richard Ruyango ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Meru kudhibiti mimba za utotoni sambamba na utoro mashuleni.

Akizungumza Katika Baraza la Halmashauri hiyo, Ruyango ameagiza kuundwa kwa Kamati ya kuzuia na kupambana na  mimba za utotoni ikiwa ni mkakati wa kumwezesha mtoto wa kike kufikia ndoto zake "tuwasaidie wafikie ndoto zao, kwani ni Madiwani, wakuu wa Wilaya na Viongozi wajao, mfano Mkurugenzi wa Halmashauri hii ni mwanamke "amehimiza Ruyango

Pia, Mhe. Ruyango ameielekeza kamati hiyo kuthibiti suala la utoro mashuleni ambapo amewataka wazazi wote ambao  watoto wao ni watoro kufuatiliwa na kuchukuliwa hatua za kisheria pamoja na wazazi wote watakao husika kukwamisha udhibiti wa Mimba za utotoni kwa kuwaficha wenye hatia kuchukiwa hatua za kisheria.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhandisi Richard Ruyango Akizungumza wakati wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Mhe.Jeremia Kishilu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru,wakati wa Mkutano wa baraza la Halmashauri 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa Mkutano

Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa Mkutano 

Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.

Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa