• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ARUMERU YAKIMBIZA MWENGE WA UHURU KILOMITA 126.3

Imewekwa: June 20th, 2021

Mwenge wa Uhuru umekimbizwa umbali wa kilomita 126.3 katika Wilaya ya Arumeru ambapo umezindua, kukagua , kuweka jiwe la msingi,  na kufungua miradi tisa katika sekta ya TEHAMA, elimu ,afya, maji, barabara, kilimo na uwekezaji yenye thamani ya shilingi bilioni  2.3.

 Aidha,  Wilaya ya Arumeru ilipokea Mbio Maalum za Mwenge siku Jumamosi tarehe 19 Juni 2021 toka Wilaya ya Arusha na kukimbiza Mwenge wa Uhuru umbali wa Kilomita 126.3 katika Halmashauri mbili za Arusha na Meru na leo tarehe 20 Juni,  2021  Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa kwa Wilaya ya Longido.

Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru  Kitaifa, Luten Josephine  Paul Mwambashi amepongeza  vijana wa Kikundi  Cha  Umoja Youth Group kwa kutumia fursa ya mikopo inayotolewa na Halmashauri kujipatia maendeleo kwa kukuza mtaji kutoka Milioni 6  hadi shilingi milioni 48.

Luten Josephine ametoa wito kwa vijana kuendelea kufanya Kazi kwa bidii na kujipatia kipato halali na kushiriki kikamilifu kujenga uchumi wa taifa.

Aidha, Mwenge wa Uhuru  umetembelea Mradi Wa TEHAMA unaotumika kujifunza na kufundishia, umekagua na kuzindia mradi wa ujenzi wa Vyumba 3 vya Madarasa katika shule ya Sekondari Kikwe, umeweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara kiwango Cha lami Sangisi-Nambala, umetembelea Kituo cha kuuzia mafuta kwa rejareja , umetembelea Mradi wa kilimo cha migomba na tumbaku na umezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Oltrument. Aidha, umekagua mradi wa ujenzi wa bwalo shule ya Msingi Ilboru  na  kutembelea mradi wa Kikundi Cha Vijana cha "Umoja youth group".

Kauli  Mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 ni “TEHAMA ni Msingi wa Taifa endelevu; itumie kwa usahihi na Uwajibikaji”.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa