Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango amewaagiza Idara ya Mazingira kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaoharibu vyanzo vya Maji.
Ruyango amesema hayo katika Baraza la madiwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru ambapo amekiri Wilaya hiyo kuwa na vyanzo vingi vya maji
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhandisi Richard Ruyango Akizungumza wakati wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Mhe.Jeremia Kishilu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru,wakati wa Mkutano wa baraza la Halmashauri
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mwl.Zainabu Makwinya wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.
Waheshimiwa Madiwani wakati wa Mkutano
Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.
Waheshimiwa Madiwani wakati wa Mkutano
Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.
Wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa Mkutano wa baraza la Madiwani.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa