• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

BARAZA LA MADIWANI LAPITIA TAARIFA YA UFUNGAJI HESABU ZA ZA MWISHO MWAKA WA FEDHA 2021/2022, LAHIMIZA KUONGEZA MAPATO ILI KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO

Imewekwa: September 30th, 2022

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru lapitia na kuridhia taarifa ya ufungaji  wa hesabu za mwisho za mwaka wa fedha 2021/2022, ambapo limeazimia kuongeza mapato  ikiwa ni pamoja na  kubuni vyanzo vipya   ili Halmashauri kuongeza  uwezo wa kujiendesha  na kuwaletea wananchi maendeleo .

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Mhe.Jeremia Kishili amesema ukusanyaji wa mapato umekuwa ukiongezeka kutokana na mikakati iliyowekwa  na madiwani kwa kushirikiana na wataalum inayolenga kuwaletea  wananchi wa Meru Maendeleo.

Awali, Akiwasilisha taarifa ya ufungaji wa Hesabu za mwisho za mwaka   wa fedha 2021/2022, Mweka hazina wa Halmashauri ya Meru Zubeda Nkuba amesema taarifa hiyo imeandaliwa kwa mujibu wa kifungu cha 6 (d) na 7 (d) cha Memoranda ya Fedha ya mwaka 2010  .

Baraza hilo maalumu la kupitia taarifa ya ufungaji wa hesabu za mwisho za mwaka wa fedha 2021/2022 limefanyika katika ukumbi wa Halmashauri .

MERU TUPO VIZURI KAZI IENDELEE

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Mhe.Jeremia Kishili wakati wa kikao.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa kikao.

Waheshimiwa Madiwani wakati wa kikao

Waheshimiwa Madiwani wakati wa kikao

Waheshimiwa Madiwani wakati wa kikao

Wataalam wakati wa kikao

Waheshimiwa Madiwani wakati wa kikao

Baadhi ya Wataalum wakati wa kikao

Mweka hazina wa Halmashauri ya Meru Zubeda Nkuba


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa