Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Ndg.Emmanuel Mkongo ameishukuru benki ya CRDB tawi la Usa-River baada ya kupokea Scanner moja na kueleza kuwa itaongeza utendaji katika kuwahudumia wananchi kwani ni miongoni mwa vitendea kazi muhimu.
Naye Meneja wa CRDB Tawi la Usa –River Amulikiwan Massawe amesema benki hiyo kama sehemu ya kuchangia upatikanaji wa huduma bora na kusukuma Maendeleo imenunua scanner yenye thamani ya zaidi ya laki nane Kwaajili ya Ya Hamlashauri ya Wilaya ya MERU.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa