• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

TAASISI YA KIFEDHA FAIDIKA YAKABIDHI VIFAA VYA THAMANI YA MILIONI TATU NA LAKI SABA .

Imewekwa: September 27th, 2019

Taasisi ya kifedha ya Faidika kwa lengo la kutumia faida yake katika suala zima la kurahisisha utoaji huduma kwa watumishi wa Umma imeikabidhi Halmashauri ya Wilaya ya Meru, iliyopo Wilayani Arumeru Mkoani Arusha vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni tatu na laki saba ambavyo ni Printa yenye uwezo wa kudurufu,kuskani na kuprinti nyaraka pamoja na komputa .

Akizungumza na wakuu wa Idara wa Halmashauri hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo ya fedha Faidika Ndg.Baraka Munisi ,amesema kuna umuhimu mkubwa kwa watumishi wa umma kupata huduma ya Mkopo kupita Faidika kwani Mahesabu ya kiwango cha kulipa yanafanyika kupitia mfumo wa kitaalam na hakuna makosa ya kibinadamu hivyo mteja atalipa kiasisi anachodaiwa tu ,pia taasisi ya Faidika hutoa mkopo kwa mteja wake ndani ya masaa 24, na makato ya mikopo ya faidika huzingatia viwango vilivyo izinishwa na Serikali hivyo mteja ana bakiwa na kiwango cha mshahara baada ya makato yote kwa mujibu wa sheria.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bi Grace Mbilinyi ameishukuru taasisi ya fedha ya Faidika kwa kuchangia maendeleo ya Halmashauri hiyo kwa kuongeza vitendea kazi vitakavyo leta tija kwenye kuwahudumia watumishi haswa kwenye uingizazi wa makato ya watumishi kwenye taasisi za fedha kupitia mfumo wa (HCMIS).

Makao makuu ya Taasisi ya fedha ya Faidika ijulikanayo kama Letshego Group  yapo Dar ES Salaam jengo la Vodacom Tower Gorofa na 3.



Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi  ya  fedha Faidika Ndg.Baraka Munisi kizungumza na wakuu wa idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo ya  fedha Faidika Ndg.Baraka Munisi akikabidhi vifaa kwa kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru,ambaye ni Mkuu wa idara ya utawala na rasilimali watu Bi.Grace Mbilinyi.

Picha ya pamoja ya Mkurugenzi wa Faidika na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru pamoja na watumishi toka taasisi hizo.


Baadhi ya Watumishi wakati wa makabidhiano ya vifaa.

Wakuu wa Idara,Vitengo na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Meru wakati wa makabidhiano ya vifaa .Kulia ni mtumishi wa taasisi ya fedha ya Faidika.


Picha ya pamoja ya Mkurugenzi wa Faidika na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru,wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Meru  pamoja na watumishi toka taasisiya Faidika.




Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO WIKI YA UTYUMISHI WA UMMA 2025 DODOMA

    June 13, 2025
  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa