Zaidi ya Vijana 400 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameshiriki bonanza la vijana lililoandaliwa na Halmashauri hiyo kwa kushirikiana na wadau wa mashirika yasio ya kiserikali ya SOS CHILIDREN'S VILLAGES, VOICE OF YOUTH TANZANIA, DUSAFO, SAVE AFRICA TANZANIA na TAMIHA
kiwa ni kuelekea maadhimisho ya siku ya vijana tarehe 12 Agosti 2022 ambapo kwa halmashauri ya Meru yataadhimishwa MS TCDC maarufu kama Denish.
Aidha, kupitia bonanza hilo vijana wametakiwa kutokata tamaa, kuondoa hofu na kuwa makini katika maisha licha ya changamoto mbalimbali wanazokutana nazo ili waweze kufikia ndoto zao za maisha na kushiriki katika maendeleo ya nchi .
Kesho tukutane
MS TCDC maarufu kama Denish #wote mnakaribishwa muda ni kuanzia saa 2:30 asubuhi
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa