Afisa anaeshughulikia maswala ya Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Edward Bujune Ametoa Elimu kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza umuhimu wa watu kujitokeza katika zoezi hilo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pindi tu litakapo tangazwa kuanza.fungua hapa kupata video,☝️
Ametoa elimu hiyo kwa umma kupitia chombo cha habari Radio Triple A 88.5 iliyopo Jijini Arusha.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa