Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mazishi ya aliyekuwa rais wa Tanzania wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na kufanya dua pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wakiaga mwili wa marehemu katika Uwanja wa michezo wa Amani Mjini Zanzibar tarehe 02.03.2024.