Benki ya CRDB tawi la Usa-River yampongeza Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuwaamini Wanawake ambapo amemteua Mwl.Zainabu Juma Makwinya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Meneja wa CRDB Tawi la Usa - River Amulikiwa Massawe amesema Benki hiyo inampongeza Mhe.Rais kwa kuwaamini Wanawake kwenye uongozi , Pia inampongeza Mwl.Zainabu Makwinya kuaminika hivyo CRDB itaendelea kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Meru katika maswala mbalimbali ya kimaendeleo .
Meneja wa CRDB Tawi la Usa - River Amulikiwan Massawe (kusho)akikabidhi zawadi ya pongezi kwa Mwl.Zainabu Makwinya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru.
Mwl.Zainabu Makwinya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa