• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MTU MMOJA AHOFIWA KUFARIKI DUNIA KUTOKANA NA UPEPO MKALI ULIOVUMA WILAYANI ARUMERU.

Imewekwa: October 2nd, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amevieleza  vyombo vya habari kuwa,kufuatia upepo mkali uliotokea jana majira ya mchana Mkoani Arusha ambao ulienea mpaka katika maeneo ya Wilaya ya Arumeru umesababisha madhara ambapo Katika Halmashauri ya Meru ,watu watatu waliokolewa baada ya mitumbwi miwili waliokuwa wanautumia katika Ziwa Momela  kupigwa na upepo  na kupinduka, ambapo kijana mmoja alietambuliwa kwa jina la Samwel Gildati Mhina anaejishughulisha na kazi za kuongoza watalii anahofiwa kuzama katika ziwa hilo pamoja na mtumbwi aliokuwa anautumia haujapatikana mpaka sasa, vikosi vya zimamoto na uokoaji kutoka mkoani na wilaya ya Arumeru vinaendelea na kazi ya kumtafuta.

Katika tukio hilo raia wawili ambao wametambuliwa kwa majina ya Dkt.Tuemper Bern John na Dkt.Rosenberger Raia wa Ujerumani waliokolewa mara baada ya mtumbwi wao kupigwa na dhoruba ya upepo na kupinduka pamoja 


 Aidha Muro  amesema zoezi la uokoaji linaendelea,pia kuna  madhara mengine  ya upepo huo katika Halmashauri ya Meru yametokea katika  Kijiji cha Kimundo Kata ya Nkoarisambu ambapo  Nyumba moja imeezuliwa paa pia katika kijiji cha Ulong’aa kata ya Nkwandrua paa la choo cha shule ya msingi nalo liliezuliwa.

*waliookolewa ni wazima, wanaendelea na shughuli zao 


Zoezi la uokoaji likiendelea.

Mkuu wa W


Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa