Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Eng.Richard Ruyango aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Meru kwa kukusanya mapato kwa zaidi ya asilimia 100% katika Mwaka wa fedha 2020/21 sambamba na kupata HATI SAFI ya Ukaguzi wa Hesabu kwa miaka mitatu mfululizo.
Eng. Ruyango amewapongeza Mhe .Jeremia Kishili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg.Emmanuel Mkongo, Madiwani, Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Watumishi na kuhimiza Viongozi na Watumishi kuongeza ushirikiano.
Haya yamejiri wakati wa kikao Kazi Katika Halmashauri hiyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa