Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa ameboresha taarifa zake kwenye Daftari la kudumu la Wapiga Kura katika Kata ya Ngabobo Kijiji cha Ngabobo kituo cha Shule ya Msingi Masai Vision.
Aidha Mhe Mkalipa amewataka wakazi wa Maeneo hayo ambayo ni Jamii ya kimaasai kushiriki Zoezi la kujiandikisha huku akitoa umuhimu wa kuwa na Kadi ya mpiga Kura kwamba itamsaidia kupata huduma Kwa urahisi na haraka kwasababu yakutambulika Licha ya kushiriki Uchaguzi 2025.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa