Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Amir Mohamed Mkalipa mapema hii Leo amefanya kikao na Wafanya Biashara wa Arumeru Kwa Lengo la kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wafanya Biashara wa Arumeru aidha kuweka mikakati madhubuti itakayo wasaidia katika ufanyaji wa kazi zao.
Aidha Mhe. Mkalipa amewataka Wafanya Biashara kuhakikisha malipo ya service leavy yanafanyikia Ndani ya Halmashauri husika kulingana na mahali mfanya Biashara anapofanyia Biashara yake.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa