Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa mapema hii Leo ameshiriki Zoezi la kupiga Kura kwenye kituo chakupigia Kura Shule ya Msingi Kilimani kitongoji cha Magadirisho.
Aidha Mkuu wa Wilaya amewapongeza wasimamizi wa Vituo Kwa kufungua vituo mapema kama muda unavyohitaji pia ameendelea kuwasisitiza Wananchi kuendelea kulinda Amani iliyopo Kwa masaa machache ya Zoezi hili la Uchaguzi
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa