Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir M. Mkalipa aunga mkono juhudi za Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika kufanikisha tamasha la maonyesho ya Magari aina ya Land Rover litakalofanyika kuanzia tarehe 12 Oktoba 2024 hadi tarehe 14 Oktoba 2024.
Kaa Tayari.
Halmashauri ya Wilaya ya Meru
Anwani: P.o. Box 462 Usa River
Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@merudc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa