• Barua pepe |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
Meru District Council
Meru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Meru

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Manunuzi na ugavi
      • Uchaguzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Misitu
    • Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa
    • Ujenzi wa Kituo cha Biashara
    • Ujenzi wa Eneo la Mapumziko
    • Ujenzi wa kituo cha Mabasi cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Malori cha kisasa
    • Ujenzi wa kituo cha Michezo
    • Kilimo cha Nyanya
    • Ufugaji wa Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • AIDS
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu mbalimbali
    • Utaratibu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA KWENYE HALMASHAURI YA MERU YATIA FORA

Imewekwa: September 6th, 2018

Wananchi wa Kata ya Mbuguni Halmashauri ya Wilaya ya Meru wameipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa kuboresha huduma za Afya ikiwemo upatikanaji wa dawa.

Wananchi hao wamemweleza hayo Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mhe.Mrisho Gambo alipotembelea kituo cha Afya mbuguni wakati wa ziara yake ya siku Moja katika Halmashauri hiyo.

Wananchi hao wamesema hapo awali huduma katika kituo hicho zilikua za kusuasua na kunawakati walikosa dawa jambo lililokuwa kero kubwa,"Tunaishukuru serikali kwani sasa tunahudumiwa vizuri na hatujawahi kukosa dawa katika kituo hiki" kauli ya Perpetua Maphie mkazi wa mbiguni.

Sambamba na pongezi hizo wananchi hao wamemwomba Mhe.Gambo kuwasaidia kupata  gari la kubebea wagonjwa na kutatua kero ya uhaba wa watumishi.

Aidha Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt.Cosmas Kilasara ameeleza  kuwa upatikanaji wa dawa katika Halmashauri hiyo ni zaidi ya asilimia 90% .

Dkt.Kilasara amesema upatikanaji huo wa dawa unaoridhisha ni baada ya Serikali ya awamu ya Tano kuiongezea Halmashauri hiyo bajeti ya dawa toka milioni 49 hadi milion 422 kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na kwa mwaka huu wa fedha 2017/2018 ni milioni 553.

Mhe.Gambo ameridhishwa na ujenzi na ukarabati wa kituo cha Afya Usa-River pamoja na hali ya upatakanaji wa dawa kwa Mkoa wa Arusha ikiwa ni ongezeko la bajeti ya dawa toka milioni 2061 hadi bilioni 2 na milioni 400.

BAADHI YA PICHA ZA TUKIO.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya Meru Dkt.Cosmas Kilasara akitoa maelezo juu ya chumba cha maabara katika kituo cha afya Mbuguni wakati wa ziara ya Mhe.Gambo.

Mwonekano wa chumba cha upusuaji katika kituo cha Afya Mbuguni.

Mkusanyiko  wananchi wa Mbuguni wakati wa ziara ya Mhe.Gambo katika kituo cha afya mbuguni


Perpetua Maphie Mkazi wa Mbuguni.



Wodi ya mama na Mtoto katika Kituo cha Afya Usa-River.

Jengo la upasuaji katika kituo cha Afya  Usa - River.

Matangazo ya Kawaida

  • KUITWA KWENYE USAILI October 28, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2024
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MTAALA WA ELIMU YA AWALI NA MSINGI 2022. February 18, 2022
  • UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA NGURUDOTO LIMEANZA. November 27, 2018
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • AJIRA MPYA MERU DC WAPATIWA MAFUNZO

    April 02, 2025
  • NAIBU WAZIRI MAENDELEO YA JAMII,JINSIA WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU AKAGUA MIRADI YA S.O.S

    March 15, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI MERU DC YAFUNGWA

    February 15, 2025
  • TAHAPAO NA MERU DC WAWEKA NGUVU KWENYE KAMATI ZA MTAKUWA

    February 19, 2025
  • Tazama Vyote

Video

ELIMU YA KUKABILIANA NA TAHADHARI YA MVUA ZA EL NINO YAANZA KUTOLEWA HALMASHAURI YA MERU.
Video Zaidi

Viungo Haraka

  • Kupata Salary Slip
  • Sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Meru

Kiungo Kuhusiana

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Mkoa wa Arusha
  • Ajira Portal
  • Government Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Meru

    Anwani: P.o. Box 462 Usa River

    Simu ya Mezani: (+ 255) 272970482

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@merudc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Haki zote zimehifadhiwa